Uistikbari
IQNA - Mjumbe mkuu wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu la Iran amesitiza mizizi ya Qur'ani ya mapambano dhidi ya mfumo wa kiburi au uistikbari duniani.
Habari ID: 3479697 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/04
Iran
IQNA-Maandamano ya kuadhimisha Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari wa Dunia ambayo huadhimishwa tarehe 13 Aban (Novemba 3 au 4) kila mwaka hapa Iran, yamefanyika Tehran na katika miji mingine kote Iran.
Habari ID: 3479693 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/03
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa taarifa na kusema kuwa, Aban 13 (Novemba 4) ambayo ni siku ya kupambana na ubeberu nchini Iran, bila ya shaka yoyote imebadilisha kabisa mlingano wa nguvu kieneo na kimataifa.
Habari ID: 3474517 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/05